![]()
SHOP:楽天Kobo電子書籍ストア
500円(税込) (送料込) (カード利用可)
| 楽天市場で商品詳細を見る |
<p>Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa tena upya kwa Maji na Roho." Kichwa hiki kikuu kinatokana na asili ya somo hili. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinatueleza kwa ufasaha juu ya kuzaliwa tena upya na jinsi ya kuzaliwa tena upya kwa maji na Roho kwa mujibu wa Bibilia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa ni mwakilishi wa wanadamu wote na wa uzao wa Kuhani Mkuu Haruni. Kuhani Mkuu Haruni aliiweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa kutubia makosa na kisha akazipitisha dhambi zote za mwaka mzima za Waisraeli katika huyo mbuzi wa kutubia makosa katika ile Siku ya Upatanisho. Tendo hilo ni kivuli cha mambo mazuri yajayo. Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuwekewa mikono. Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekewa mikono katika Mto Yordani. Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo wake na alisulubiwa ili kulipa deni...楽天市場のショップで商品詳細の続きを見る