![]()
SHOP:楽天Kobo電子書籍ストア
550円(税込) (送料込) (カード利用可)
| 楽天市場で商品詳細を見る |
<p>Hali isiyo ya kawaida inatokea ndani ya EASA, baada ya majasusi wa wawili kuuana kwa mujibu wa taarifa zilizoletwa. Mmoja akiwa wa Tanzania na mwingine akiwa wa Kenya. Suala ambalo limetokea kwa namna uya utata sana, hata uchunguzi ulishindikana.</p> <p>Kama inavyojulikana umoja wa Wakenya, wakiona mwenzao amekumbwa na hali fulani. Ndiyo ilipelekea uchunguzi kutofanyika, sababu wao walihitaji majibu na kueleza walishawasiliana na makao makuu ya Dodoma kutoa taarifa. Ila bado mwenzao alipoteza maisha.</p> <p>Mgogoro ukatokea EASA ikagawanyika kati ya waliyounga mkono Nairobi na wa Dodoma. Pia kukawa na kundi ambalo halifungamani na pande hizo mbili, wao walibaki kuwa tayari kufanya kazi na yeyote ndani ya Afrika ya mashariki kama operesheni yake ilihusu ulinzi na usalama wa ukanda.</p> <p>Ikabidi ofisi ya CE ambaye hafungamani na upande wowote ule. Iteue jasusi mmoja kwenda kuchunguza. Ilitakiwa arudi na majibu kuna jambo gani limejiri mpaka kutokea yale. Hapo ndiyo mapya yaliibuka u...楽天市場のショップで商品詳細の続きを見る